Thursday, January 26, 2017
FAIDA ZA VYAKULA VINAVYOSAIDIA UPATE VITAMIN B1 MWILINI
FAIDA ZA VYAKULA VINAVYOSAIDIA UPATE VITAMIN B1 MWILINI

FAIDA ZA VYAKULA VINAVYOSAIDIA UPATE VITAMIN B1 MWILINI
VITAMIN B1:
Ni miongoni mwa vitamini zenye umuhmu mwilini ikiwa mtu atakuwa nazo na akiwa hana atapatwa na madhara.
(a) kazi za vitamini b1 mwilini
1 kuboresha na kuimarisha misuli,
2 kubadili sukari,
3 kutia mwili nguvu,
4 kuboresha nguvu ya akili,
5 kuwezesha kazi nzuri katika mfumo wa umengenyaji chakula(digestion system),
6 kuongeza hamu ya kula,
7 kuongeza nguvu katika hisia za uonaji na kuzuia ugonjwa wa bandama au anemia,
(b) dalili za kupungua vitamin b1 mwilini,
1 misuli kulegea,
2 mapigo madogo ya moyo(low blood pressure),
3 uzito kupungua,
4 kuwa na ugonjwa wa kisukari,
5 mwili kujaa maji,
6 kupatwa na ukichaa.
(c) vitamin b1 inapatikana kwenye;~
1 sukari guru
2 ngano isiyokobolewa,
3 karanga,
4 mbogamboga zote za majani,
5 njugu na miwa.
Keep your health by eat natural foods and natural medicines.
Available link for download